Waonesha mpira wa miguu kwenye vibanda umiza waitwa TFF

0
9


TFF imesema kuwa imewaita watu hao kwa ajili ya kufanya kikao cha pamoja cha majadiliano ya ushirikiano, kitakachofanyika katika ofisi za shirikisho hilo, Karume katika manispaa ya Ilala.

Wamiliki hao wa vibanda vya kuonesha mpira wameombwa kufika kesho Jumanne, Agosti 27. Taarifa kamili ya TFF ni kama inavyoonekana hapa chini.

By Ally Juma.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here