Video: Chama, Bocco, Okwi wapiga zoezi la kibabe kabla ya kuwavaa Al Ahly kesho, Aussems aonyesha uwezo wa kupiga dana dana

0
61


Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara na wawakilishi pekee kwenye michuano ya Kimataifa, Simba SC mchana waleo wamefanya mazoezi yao ya mwisho uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kabla ya kuwavaa waarabu wa Misri klabu ya Al Ahly kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Mazoezi hayo yakiwa chini ya kocha wao ‘Uchebe’ Patrick Aussems na nyota wao Okwi, Chama pamoja na Bocco.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here