Utafiti wa Udanganyifu: Je ni kweli wanaume ni waongo zaidi ya wanawake?

0
69


Ndiyo, wanaume huongopa zaidi ya wanawake.Hayo ni matokeo ya utafiti mkubwa juu ya udanganyifu.

Lakini,wanawake si wakweli kihivyo. 42% ya wanaume waligundulika ni waongo,ikilinganishwa na 38% ya wanawake.Utafiti huo pia umebaini kuwa vijana ni waongo zaidi ya wazee.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here