Steve Nyerere awambia wasanii “nikicheza beki 5 hakuna msanii atakufa njaa” (Video)

0
131


Msanii wa filamu, Steve Nyerere Jumatatu hii alifanya kikao na wasanii ambao walitembelea mradi wa reli ya kisasa na kuzungumza nao mambo mbalimbali pamoja na mipango yake ya kuhakikisha wasanii wapiga pesa kutokana na majina yao.

The post Steve Nyerere awambia wasanii “nikicheza beki 5 hakuna msanii atakufa njaa” (Video) appeared first on Bongo5.com.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here