Romy Jones aeleza Diampond Platnumz na timu ya Wasafi kutohudhuria harusi ya Harmonize – Video

0
3


DJ wa msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Pltnumz anayejulikana kwa jina la Romyjones, amefunuka  kuhusiana na timu nzima ya WCB kutohudhuria kwenye harusi ya aliyekuwa msanii wa lebo hiyo Harmonize hata kutuma muwakilishi.

Akipiga stori na Bongo5  Romy Jones ameongelea hilo akiwa kama Vice Presdent wa WCB yaani msaidizi wa Diamond alifunguka haya:-

By Ally Juma.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here