DROO YA UEFA: Man United uso kwa uso na Barcelona, tazama ratiba yote hadi mchezo wa fainali

0
20


Leo mchana droo ya robo fainali ya Klabu bingwa barani Ulaya imepangwa, ambapo klabu ya Manchester United ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Hispania kwenye hatua hiyo.

Man United ndio wakaoanzia nyumbani Old Trafford kati ya tarehe 9/10 Aprili 2019. Tazama droo yote hapa chini

Droo hiyo, pia imepangwa na hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo, ambapo mshindi kati ya Barcelona na Man United atacheza nusu fainali na mshindi kati ya Liverpool na FC Porto.

Mshindi atakayepita kati ya Man City na Spurs atacheza dhidi ya Ajax na Juventus.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here