Diamond Platnumz alivyomchezesha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba, wimbo wa Tetema kwenye Birthday yake (+ Video)

0
33


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba

By Ally Juma

The post Diamond Platnumz alivyomchezesha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba, wimbo wa Tetema kwenye Birthday yake (+ Video) appeared first on Bongo5.com.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here