Akiwa kwenyemaandalizi dhidi ya Barcelona, Ole Gunnar Solskjaer aingia sokoni mwenyewe

0
37


Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer jioni ya jana ameonekana akitoka sokoni mwenyewe jambo ambalo kwa sasa ni la kawaida kwa meneja huyo.

Ole Gunnar Solskjaer is seen holding a loaf of bread and cans of Pepsi Max on Monday evening

Solskjaer anajiandaa na mechi ngumu tangu kuwa kocha rasmi wa United, ambapo ni dhidi ya Barcelona mchezo wa Champions League hatua ya robo fainali siku ya Jumatano.

The Manchester United boss poses for a selfie with a fan after leaving his local supermarket

United pia inajiandaa kwa mechi za Premier League dhidi ya West Ham, Everton, Manchester City na Chelsea mwezi huu huku Solskjaer akitumia muda wake kidogo kwaajili ya kufanya manunuzi.

Miongoni mwa vitu ambavyo ameonekana akibeba meneja huyo ni mikate pamoja na vinywaji aina ya Pepsi Max.

Wiki iliyopita Solskjaer alibahatika kwenda Hispania kushudia mchezo wa Barcelona dhidi ya Atletico Madrid ambao wapuinzani wao kwenye UEFA waliibuka na ushindi wa mabao 2 – 0.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here